Wasiwasi baada ya wageni wawili kufa kwa homa ya manjano Kenya

Serikali ya Kenya imesema iachukua hatua za tahadhari baada ya watu wawili waliokuwa wanatembelea nchi hiyo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufariki kutokana na homa ya manjano.

Your browser doesn’t support HTML5

KENYA YELLOW FEVER