Kenya yaungana na dunia kuadhimisha Siku ya Bahari Duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati Kenya ikiungana na dunia kuadhimisha siku ya Bahari Duniani, takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira zinaonyesha kuwa asilimia 90 ya samaki wakubwa baharini wanapungua huku asilimia 50 ya mazalio yao yakiharibiwa na uchafuzi wa mazingira.