Kenya ya n'gara wakati wa maonesho ya Utamaduni washington
Uwanja wa Mall ambako Kenya ilivunia utamaduni wake 2014
Chipchumba mwimbaji moja wapo aliyewatumbuiza watu wakati wa tamasha la kitamaduni washington
wageni wakioneshwa namna ya kuvaa kanga wakati wa maonesho ya kitamaduni Washington 2014
maonesho ya utamaduni ya washington kibanda cha mazungumzo
Kibanda cha kuonesha shanga za kiyenyeji kutoka Kenya
Hema kuu ya Ngoma ambako tamasha ya muziki ilifanyika kila siku
Ukumbi wa muziki kwenye maonesho ya Utamaduni Washington
Kibanda cha kuonesha shanga tofauti za kitamaduni kutoka Kenya