Kenya inafanya mabadiliko ya dakika za mwisho wakati inajitayarisha kumkaribisha Rais wa Marekani, Barack Obama

  • VOA Swahili

Uhuru Highway ikisafishwa na matayarisho yanaendelea katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi
 


Usafishaji  na matayarisho katika barabara  ya Uhuru Highway

Usafishaji na ujenzi unaendelea kwenye Uhuru Highway
 

Uhuru Highway ikisafishwa kwa ajili ya ziara ya Obama
 

Uhuru Highway iikifanyiwa usafi
 

Tusker imeweka matangazo  kumkaribisha rais Obama.

 

Matangazo yakimkaribisha rais Obama.

 

Gazeti la "The Standard" la Kenya linaonyesha matayarisho ya dakika za mwisho kwa ziara ya rais Obama.

 

"Usikanyage kwenye majani" unasomeka ujumbe kando ya barabara ya Uhuru Highway mjini Nairobi, Kenya.