Makumbusho ya wapiganaji wa Mau Mau Kenya

Sanamu ya makumbusho ya wapiganaji wa  Mau Mau huko Kenya

Sanau ya makumbusho ya wapiganaji wa Mau Mau miliyogharimiwa na Uingereza mjini Nairobi.

Katibu Mkuu wa chama cha wapiganaji wa Mau Mau, Gitu wa Kahengeri, (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Uingereza Kenya Christian Turner, wakihudhuria kuzinduliwa uwanja wa makumbusho wa wapiganaji wa Mau Mau mjini Nairobi, Kenya Jumamosi, Sept. 12, 2015

Kenya Mau Mau Memorial

Kenya Mau Mau Memorial