Moto katika soko la Gikomba

Bulan tampak di belakang atap Katedral Notre-Dame di Paris, Perancis.

Wakazi na wafanya biashara wakibaki wanaangalia tu huko viduka vidogo vikiwa vinateketea kwa moto katika soko la Gikomba nje kidogo ya Nairobi

Wakazi wakiangalia mbaki ya soko la Gikomba baada ya moto ulioibuka usiku wa kuamkia Jumanne. Wazima moto walijitahidi kwa saa kadha kuzima moto katika soko hilo maarufu kwa kuuza nguo za mitumba.