Mashambulizi ya Mandera Kenya July 07, 2015

Madaktari na wauuguzi wakisaidia baadhi ya waathirika wa mashambulizi ya kigaidi Mandera Jumatatu usiku.

Wauguzi wakiingiza mtu aliyejeruhiwa ndani ya hospital mjini Mandera.

Mmoja wa watu waliojeruhiwa akionekana baada ya kupata matibabu katika hospitali ya Mandera.

Maafisa polisi na wa Msalaba Mwekundu wakihudumia watu walioathirika na shambulizi la Mandera.

Mwanajeshi wa Kenya anaosha mikono yake baada ya kusaidia katika kubeba maiti kufuatia shambulizi hilo la Mandera.

Mashambulizi ya Mandera 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015

Mashambulizi ya Mandera Julai 2015