Rais Magufuli awasili Uganda

Rais John Pombe Magufuli akilakiwa na mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kwenye kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Entebe nchini Uganda.

Rais John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima.

Rais Magufuli akizungumza na mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Museveni.

Rais Magufuli akipunga mkono kwenye kikundi cha ngoma za asili.

Rais Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais Mteule Museveni wakati nyimbo za mataifa mawili pamoja na ule wa Afrika Mashariki ukipigwa katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.