Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Javier Pérez de Cuéllar aaga dunia

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Javier Perez de Cuellar akiongea juu ya madai ya udukuzi wa kijasusi wa simu yake  katika mkutano na waandishi wa habari Lima, Peru Jumatatu Aug. 4, 1997.

Waziri Mkuu mpya wa Peru Javier Perez de Cuellar akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili Lima, Peru, November 23, 2000. REUTERS/Mariana Bazo/File Photo

FILE - Mnamo Machi. 28, 2001 (Picha ya kumbukumbu), Waziri wa Mambo ya Nje Javier Perez de Cuellar of Peru, akiongea na waandishi wa habari wakati wa muda wa mapumziko katika kikao cha kila mwaka cha mawaziri kutoka Kikundi cha Rio cha Amerika ya Kati  na Umoja wa Ulaya huko Santiago.

Javier Pérez de Cuéllar, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 100, wizara ya mambo ya nje ya Peru imesema.