Kandanda Wiki hii, Mei 10, 2013

David Beckham wa Uingereza anaestahafu akipachika mkwaju wa free kick kusawazisha dhidi ya Ugriki katika mchuano wa kundi la tisa wa kuwania nafasi ya kuigia katika Kombe la Dunia, October 6, 2001.

Chelsea's Ramires wa klabu ya Chelsea akijaribu kupachika bao kwa kumchenga Luisao (kulia) wa  Benefica katika mchuano wa mwisho wa ligi ya Europa mjini Amsterdam May 15, 2013.

Victor Ferreira (mbele) timu ya Real Garcilaso ya Peru akiminyana kunyakua mpira kutoka kwa Efrain Cortes wa timu ya Nacional ya Uruguay wakati wa mchuano wa kombe la Libertadores mjini Montevideo, Mei 9, 2013.

Caner Ertekin (kulia) wa klabu ya Fenerbahce akipigania mpira na Aydin Yilmaz wa Galatasaray wakati wa ligi ya juu ya Uturuki katika uwanja wa mpira wa Sukru Saracoglu Istanbul Mei 12, 2013.

Zlatan Ibrahimovic wa timu ya Paris Saint-Germain na David Beckham wakisherehekea ushindi mwishoni wa michuano ya ligi ya Urfaransa dhidi ya timu ya Olympique Lyon mjiniLyon Mei 12, 2013.

Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi wakiwa na kombe baada ya kuwalaza Benfica kwenye finali ya ligi ya Europaikwenye uwanja wa Amsterdam Arena Mei 15, 2013.

Lima wa timu ya Benfica asherehekea bao alopachika dhidi ya klabu ya Porto katika mchuano wa ligi ya juu ya Ureno mjini Porto Mei 11, 2013.

Aleksandar Kolarov (L), wa Manchester City akiminyana na Romelo Lukaku wa West Bromwich wakati wa mchuano wa ligi ya juu ya Uingereza kweye uwanja wa Etihad mjini Manchester, kaskazini mwa Uingereza, Mei 7, 2013.

Wachezaji wa Manchester City wakilinda goli wakati wa mkwaju wa free kick wa albino wa West Bromwich wakati wa mchuano wa ligi ya juu ya Uingereza - Premier League mjini Manchester, Mei 7, 2013.

Slobodan Rajkovic (L) Hamburger SV na Kevin Volland (R) wa klabu ya Hoffenheim wakirukia mpira juu ya golikipa wa Hamburger SV Rene Adler  alipokua anaokoa mpira wakati wa mchuano wa ligi ya kwanza ya Ujerumani Bundesliga mjini Sinsheim May 11, 2013.