Kampuni iliyotoa huduma ya teknolojia ya kupigia kura kwa IEBC yakataa kufungua seva

Your browser doesn’t support HTML5

Katika kesi ya kupinga ushindi wa Rais mteule William Ruto kampuni iliyotoa huduma ya teknolojia ya kupigia kura kwa tume ya uchaguzi IEBC nchini Kenya imekataa kufungua seva za kituo kikuu cha kitaifa cha kupigia kura kwa madai ya usalama.

- Uchunguzi na taarifa za ushahidi bado zinaendelea katika kesi ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kuhusu kuondoka madarakani na nyaraka za siri za serikali.