Teknolojia ya matumizi ya jua inavyo tumika katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya.
Kambi ya wakimbizi inavyo nufaika na teknolojia ya nishati ya jua
Ufungaji wa mfumo wa sola unaochaji betri kwa kutumia nishati ya jua
Watoto wakitumia taa ya mfumo wa sola kusomea
Mwanafunzi akitumia kompyuta inayofanya kazi kwa nguvu ya sola
Wanafunzi wanavyo nufaika na mfumo wa sola
Kinyozi akitumia umeme unaotokana na sola kunyowa