Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Marekani yashinikiza vikwazo dhidi ya majenerali wa Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Seneta Bob Menendez, Mwenyekiti Kamati Mambo ya Nje akosoa utawala wa Biden.

Asema: “Badala ya kuweka vikwazo, tunaweka utashi wa kidemokrasia wa mamilioni ya Wasudan, katika mikono ya majenerali, licha ya ushahidi kuhusu wanachokifanya na jukumu lao katika ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na rushwa kubwa ya umma.” Wakati utawala wa Rais Biden unajaribu kufikia suluhisho kupitia mazungumzo yanayoendelea Saudi Arabia.