Juhudi za uokoaji kutafuta manusura na miili katika tetemeko la ardhi zaendelea Uturuki na Syria

Your browser doesn’t support HTML5

Juhudi za uokozi kufuatia tetemeko la ardhi Uturuki na Syria zimefikika siku ya tano, wakati matumaini yakuwapata watu yanapungua.

Afrika ya Kusini yatangaza hali ya dharura kufuatia mzozo wa umeme uliodhoofisha nchi hiyo na kusababisha kero kwenye makazi ya watu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari