Jeshi la DRC lapambana vikali na waasi wa M23, raia wa Kibumba walazimika kukimbilia Nyiragogo na Goma

Mama na mwanawe wakiwa njiani kutoka eneo la Kibumba wakikimbia vita.

Wakimbizi wanaokimbia mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiwasili kutoka Kibumba, iliyoko kilomita 20 magharibi ya mji wa Goma.

Wakimbizi wanaokimbia mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiwasili kutoka eneo la Kibumba, kilomita 20 magharibi ya Goma.

Wakimbizi wakiwa njiani wakitokea Kibumba iliyoko nje ya mji wa Goma, DRC.

Eneo wanaloishi wakimbizi kutoka Kibumba iliyoko kilomita 20 magharibi ya mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Eneo wanaloishi wakimbizi kutoka Kibumba iliyoko kilomita 20 magharibi ya mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Wakimbizi wanaokimbia mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiwasili eneo kutoka Kibumba ambayo iko kilomita 20 magharibi ya mji wa Goma.

Eneo wanaloishi wakimbizi waliokimbia kutoka Kibumba ambayo iko kilomita 20 magharibi ya mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Moja ya hema la wakimbizi wanaokimbia vita waliowasili kutoka Kibumba.

Eneo wanaloishi wakimbizi wanaowasili kutoka Kibumba, kilomita 20 magharibi ya mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Wakimbizi wanaokimbia mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiwasili eneo la Kibumba, kilomita 20 magharibi ya mji wa Goma.