Je, unajua kuporomoka kwa uchumi ni kitu gani?

Your browser doesn’t support HTML5

Maelezo Rasmi : Nini Kuporomoka kwa Uchumi ?

Video hii inaanza na kipindi cha kuporomoka shughuli za uchumi, na jinsi athari zake zinavyoenea katika uchumi wote. Pia muda wa kudumu athari hizo kwa miezi kadhaa

Pia vipi kushuka kwa viashiria hivi muhimu vya uchumi kunaweza kutoa dalili za uchumi kudorora...