Jaji Ketanji atupilia mbali madai ya Warepublikan

Your browser doesn’t support HTML5

Jaji Ketanji Brown aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Juu Marekani ametetea rekodi yake kama jaji na kutupilia mbali madai wa Warepublikan kwamba alikuwa na msimamo wa wastani dhidi ya uhalifu.