Joto kali yasababisha vifo vya watu elfu moja India

AAbiria mmoja akijimwagia maji katika kituo cha train wakati wa joto kali kuwahi kutokea ambapo kiwango cha joto cha fika nyuzi 48 Celsius, huko Jammu, May 25, 2015. 

Dereva wa tuktukakipumzika wakati wa wimbi la joto kali huko, Hyderabad, India, May 25, 2015.

Mfanyakazi anajaribu kulala ndani ya kikapu katika soko la mboga huko Kolkata, May 25, 2015. 

Joto kali sana lawasababisha wachuzi hawa wakipumzika chini ya kivuli cha mti huko Hyderabad, May 25, 2015. 

KIjana mmoja achupa katika mto Ranbir kujaribu kupata afweni kutokana na joto kali huko Jammu, India, May 25, 2015.

As a heat wave tightens its grip over most parts of the country, a man wipes sweat off his face in New Delhi, May 24, 2015. 

A man pours water on his face during a severe heat wave, in Hyderabad, May 24, 2015.