Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi Uturuki na Syria yaongezeka

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi nchini Uturuki na Syria imeogezeka na kufikia 17,000, wengine wengi wakiwa bado wamefunikwa na vifusi wakati juhudi za uokoaji zikiendelea.

Watanzania wa kada mbalimbali watoa maoni tofauti juu ya mchakato wa katiba nchini humo ambao umetangazwa kuanza katika siku za usoni.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.