Huduma za usafiri wa Uber zatishwa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Taxi mtandao maarufu kama Uber imetangaza kusitisha huduma zake nchini Tanzania, ikitaja nauli elekezi za Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini -LATRA kama sababu ya maamuzi hayo na kudai itarejesha huduma zake kwa nchi hiyo iwapo sheria zitabadilishwa.