Mkataba wa kihistoria wa nuklia na Iran umefikiwa

Rais Barack Obama akiwa pamoja na Makamu Rais Joe Biden akitoa taarifa juu ya mkataba juu ya mkataba wa nuklia na Iran, July, 14, 2015.

Rais wa Iran Hassan Rouhani akitoa taarifa kupitia televisheni ya taifa akipongeza mkataba kwa kusema 'ukurasa mpya' unanaza katika uhusiano na dunai baada ya mkataba kutiwa saini, Tehran, July 14, 2015.

Waziri wa mambo ya nchi za nje wsa Ufaransa Laurent Fabius (wapili kulia), Waziri wa masuala ya kigeni wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier (2nd left), Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Philip Hammond (kushoto), Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry (kati), na Waziri wa mambo ya kigeni wa Austria Sebastian Kurz (kulia) wakizungumza kabla ya mkutano wao wa mwishokwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa Vienna, Austria, July 14, 2015.

Waandishi habari wakihudhuria mkutano wa kutangaza mkataba wa Nuklia kati ya mataifa sita  na Iran, Vienna, July 14, 2015. (VOA)

Wapatanishi wakuu wa makubalkiano ya kihistoria ya Nuklia na Iran wakipiga picha ya pamoja kwenye jengo la Umoja wa Mataifa Vienna, July 14, 2015.

Kasri ya Coburg, mahala mazungumzo ya mpango wa nuklia wa Iran yalipofanyika Vienna, July 13, 2015. (VOA / B. Allen)