Uchambuzi wa mstakabali wa kinyang'anyiro cha urais Marekani

Graphic of Hillary Clinton and Donald Trump

Kufuatia chaguzi za mchujo zilizofanyika siku ya jumanne Machi 1, 2016 katika majimbo kadhaa hapa Marekani ikiwa ni siku maarufu kama SUPER TUESDAY, BMJ Muriithi alizungumza kwa njia ya simu na Mhadhiri wa chuo Kikuu chha Le Sal kilicho katika jimbo la Philadelphia, Prof Richard Mshombana kwanza akamuuliza, ni upi mstakabal wa mchuano huu wa siasa za urais hapa Marekani.

Kufuatia chaguzi za awali zilizofanyika siku ya Jumanne katika majimbo kadhaa nchini Marekani ikiwa ni siku maarufu kama 'Super Tuesday', ambapo ni katika harakati za kutafuta ni nani atakayepeperusha bendera za vyama vikubwa Zaidi vya kisiasa vya Marekani, BMJ Muriithi alizungumza kwa njia ya simu na Mhadhiri wa chuo Kikuu cha Le Sal kilicho katika jimbo la Philadelphia, Prof Richard Mshombana kwanza akamuuliza, ni upi mstakabal wa mchuano huu wa siasa za urais hapa Marekani.

Your browser doesn’t support HTML5

prof mushoma interview