Hatua ya Tanzania kuwaondoa Wamasai Liliondo na Ngorongoro yapingwa

Your browser doesn’t support HTML5

Mawakili, mabalozi na mashirika ya kimataifa na watetezi wa haki za kibinadamu wanaendelea kuishinikiza serikali ya Tanzania kutoiondoa jamii ya kimasai kutoka Loliondo na Ngorongoro.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari