Hamas na Israel wote wanatuhumiwa kwa uhalifu wa kivita katika vita vyao vinavyoendelea

Wataalam wanasema Hamas imetekeleza uhalifu wa kivita kwa kufanya mashambulizi holela ya roketi na shambulizi la Oktoba 7 dhidi ya Israel ambalo lilisababisha vifo vya watu 1,400.