Hali ya ukame kaskazini mwa Kenya inazidi kuwa mbaya

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya ukame inazidi kuwa mbaya zaidi nchini Kenya huku kukiwa na ripoti zinazoonyesha kuwa inawaathiri zaidi wanawake na watoto.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari