'Hali ya joto imezidi kiwango cha kawaida California' - Watalii

Your browser doesn’t support HTML5

Juhudi mbalimbali zafanyika kuwaepusha watalii na athari za joto huko California, Marekani, huku baadhi wakieleza kuwa joto la mwaka huu sio kawaida.