Hali ilivyokuwa Septemba 11 baada ya mashambulizi ya kigaidi Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Siku ya Jumanne, Sept. 11, 2001, wapita njia eneo la chini la Manhattan wakishuhudia moshi mzito katika jengo la World Trade Tower baada ya shambulizi la kigaidi asubuhi na mapema.