Uchaguzi Marekani wafikia kileleni Jumanne ambapo wananchi wamejitokeza kukamilisha zoezi la kupiga kura katika majimbo mbalimbali, katika uchaguzi utakao amua nani atakuwa rais ajaye wa Marekani.
Hali ilivyokuwa Jumanne kituo cha kupiga kura Arlington, Virginia siku ya uchaguzi mkuu Marekani
Mwandishi wa Sauti ya Amerika BMJ Muriithi akiripoti katika kituo cha kupiga kura cha Central Library mjini Arlington, Jimbo la Virginia