Wamarekani waandamana dhidi ya utumiaji nguvu wa polisi

Mtu akibeba bango la moja wapo ya vijana aliyeuliwa na afisa wa usalama huko Florida, wakati wa maandamano ya Washington yaliperwa jina la Justice for All

Waandamanaji wakati wa maandamano makubwa ya Haki kwa Wote, wakibeba mabango kueleza malalamiko yao.

Waandamanaji wakibeba bango linaloeleza maisha ya weusi ni muhimu pia.

Waandamanaji kutoka sehemu mbali mbali za jamii washiriki katika maandamano ya Washington ya Haki kwa Wote

Polisi wakishika zamu wakati wa maandamano ya Washington dhidi ya tabia yao ya kutumia nguvu, hasa dhidi ya watu wenye asili ya kiafrika na walowachache. 

Waandamanaji wakati wa maandamano makubwa ya Haki kwa Wote, wakibeba mabango kueleza malalamiko yao.

Waandamanaji wawasili majengo ya bunge na kuzuliwa na polisi wakati wa maandamano ya Washington Jumamosi Dec, 13 2014.

Grande marche à Washington contre les bavures opolicières

Waandamanaji wawasili majengo ya bunge na kuzuliwa na polisi wakati wa maandamano ya Washington Jumamosi Dec, 13 2014.

Mwandamanaji mzungu akibeba bango lilaloeleza kwamba Maisha ya weusi ni muhimu.

Waandamanaji wakati wa maandamano makubwa ya Haki kwa Wote, wakibeba mabango kueleza malalamiko yao.

Waandamanaji wakati wa maandamano makubwa ya Haki kwa Wote, wakibeba mabango kueleza malalamiko yao.

Waandamanaji wakati wa maandamano makubwa ya Haki kwa Wote, wakibeba mabango kueleza malalamiko yao.

Maelfu ya watu waliandamana Washington na miji mingine mikubwa ya Marekani siku ya Jumamosi kulaani utumiaji nguvu wa polisi na hali yakuofunguliwa mashtaka. Maandamano yamefanyika hasa baada ya kuuliwa kwa raia kadhaa wenye asili ya kiafrika na hakuna polisi aliyefunguliwa mashtaka kwa mauwaji hayo.