Ghana yaanza kupokea chanjo ya kwanza ya COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Ghana imekuwa nchi ya kwanza ya Afrika kupokea chanjo ya kwanza ya COVID-19 chini ya mpango wa COVAX, unaosimamiwa na Shirika la Afya Duniani, WHO.
Your browser doesn’t support HTML5