Mcheza filamu George Clooney na Amal Alamuddin wafunga pingu za maisha Venice

Mchezaji filamu wa kimarekani George Clooney na mkewe Amal Alamuddin wakiondoka kutoka hoteli ya kifahari ya Aman Canal Grande Venice mjini Venice, Italy, Sept. 28, 2014.

Mchezaji wa Kimarekani George Clooney atabasanu alipowasili kwa texi ya majini katika mahala ambako sheehe rasmi za harusi na dhifa zitafanyika huko Venice, Italy, Sept. 27, 2014.

George Clooney katika kipindi cha kinywaji na wageni wake katika hotel ya Cipriani kabla ya sherehe za harusi na mpenzi wake Amal Alamuddin Venice, Sept. 27, 2014.

George Clooney akiwapungua mono watazamaji alipokua anasafirishwa katika texi ya majini kuelekea eneo la sherehe rasmi za harusi yake huko, Sept. 27, 2014.

Wapiga picha wakilenga kamera zao mahala anakotokea George Clooney akiwa njiani kuelekea kwenye harusi yake na Amal Alamuddin, mjini Venice, Italy, Sept. 27, 2014.

The boat carrying actor George Clooney and his guests cruises in front of media boats in the Grand Canal on its way to the Aman hotel ahead of his wedding in Venice, Sept. 27, 2014.

Actor George Clooney, right, waves from a boat with, from left, his father Nick Clooney, his sister Adelia Zeidler, and Ramzi Alamuddin, father of her fiancee Amal Alamuddin, on their way to the Aman hotel ahead of his wedding in Venice, Sept. 27 2014.

U.S. actor Matt Damon (2nd L) and his wife Luciana Barroso (2nd R) arrive to board a taxi boat transporting guests to the venue of a gala dinner ahead of the official wedding ceremony of U.S. actor George Clooney and his fiancee Amal Alamuddin in Venice, Sept. 27, 2014.

Cindy Crawford and Rande Gerber wave from a boat as they go to George Clooney's wedding with Amal Alamuddin, in Venice, Sept. 27, 2014.

Irish singer Bono, lead singer of group U2, and his wife Ali Hewson arrive to take a taxi boat transporting guests for the wedding of U.S. actor George Clooney and his fiancee Amal Alamuddin, in Venice, Sept. 27, 2014.

U.S. actor Bill Murray waves as he boards a taxi boat transporting guests to the venue of a gala dinner ahead of the official wedding ceremony of George Clooney and his fiancee Amal Alamuddin in Venice, Sept. 27, 2014.

Vogue America chief-editor Anna Wintour leave the Cipriani hotel to go to the George Clooney's wedding with Amal Alamuddin, in Venice, Italy, Sept. 27, 2014.