Mkutano wa viongozi wa G7 umeanza Ujerumani
Rais wa Marekani Barack Obama na Kansela wa Ujerumani wakiwasili kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa viongozi wa G7 katika hoteli kwenye Kasri ya Elmau kijijini Kruen, Germany, June 7, 2015.
Rais wa Ufaransa Francois Hollande, Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron, Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Jean-Claude Juncker, Rais wa Baraza la Ulaya Donald Tusk, Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe, Rais wa Marekani Barack Obama na Waziri Mkuu wa Canada Stephen Harper wahudhuria kikao cha kwanza cha kazi cha mkutano wa kundi la G7 Katika hoteli ya Kasri ya Elmau, Kruen, Ujerumani, June 7, 2015.
Polisi wa kupambana na ghasia wanawaondowa waandamanaji wanaoipinga mkutano wa viongozi wa G7, walokaa chini barabarani mjini Garmisch-Partenkirchen, kusini mwa Ujerumani, June 7, 2015.
Viongozi wa kundi la mataifa tajiri duniani (G7) na Umoja wa Ulaya wapiga picha ya pamoja huko Kruen, Germany, June 7, 2015.
German Chancellor Angela Merkel, left, and U.S. President Barack Obama are welcomed by local residents in their traditional costumes during their visit in the village of Kruen, southern Germany, June 7, 2015.
Wachezaji pembe ndefu za alpen wanamtumbuiza Raids Barack Obama na mwenyeji wake Kansela wa Ujerumani Angela Merkel katika kijiji cha Kruen, Germany, June 7, 2015.
Polisi wa Ujerumani wanapita mbele ya benki wakati wa maandamano kupinga mkutano wa kundi la G7 mjini Garmisch-Partenkirchen, June 7, 2015.