Fumio Kishida Waziri Mkuu mtarajiwa Japan

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa zamani wa Japan Fumio Kishida ameshinda uongozi wa chama Jumatano ambapo anatarajiwa kuwa waziri mkuu ajaye.
Kama kiongozi mpya wa chama cha Liberal Democratic, Kishida anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu mpya ajaye Jumatatu ndani ya bunge ambalo chama chake na washirika wao wanaongoza.