Dunia yatoa heshima za mwisho katika mashambulizi ya Paris

Mwanaume mmoja na watoto wake wawili wa kiume wakiwa katika ubalozi wa ufaransa nchini Marekani kutoa heshima zao kwa waliouwawa Paris kutokana na shambulizi la kigaidi.

watu wakiweka mauwa na kuwahsa mishumaa nje ya ubalozi wa Ufaransa kukumbuka waliokufa kutokana na shambulizi la kigaidi.

Mwanamke akitoa uwa kukumbuka waathiriwa dhidi ya shambulizi la Kigaidi mjini Paris

Watu wakiwasha mishumaa mbele ya ubalozi wa Ufaransa huko Yangon, Myanmar, Nov. 15, 2015, kukumbuka waathiriwa wa shambulizi la kigaidi mjini Paris.

Msichana akicheza nje ya ubalozi wa ufaransa huko Lima , Peru wakati wa sherehe za kuwakumbuka walioathiriwa na mashambulizi ya kigaidi huko Paris.

Mishumaa na mauwa vinaonekana mbele ya ubalozi wa ufaransa karibu na lango la Brandenburg huko Berlin, Germany, Nov. 15, 2015.

watu wakiwasha mishumaa nje ya ubalozi wa Ufaransa huko Lithuania, Nov. 15, 2015, kwa ajili ya waathiriwa wa ugaidi mjini Paris

Watu wakiwa wameshikilia bendera ya ufaransa wakati wakisubiri kutoa heshima zao kwa waathiriwa wa shambulizi la kigaidi mjini Paris huko Bucharest, Romania, Nov. 15, 2015.

Watu wakiwa wameweka mauwa mbele ya ubalozi wa Ufaransa nchini Russia wakitoa heshima kwa watu waliouliwa na shambulizi la kigaidi Paris.

Wakazi wa Copenhagen residents wakiwa wameshika kurunzi wakati wamekusanyika November 15, 2015 kwenye uwanja wa  Kongens Nytorv Square kutoa heshima zao za mwisho kwa watu waliokufa katika mashambulizi ya kigaidi ya Paris.