Filamu ya 'Nomad land' yanyakuwa tuzo ya Oscar ya picha bora
Your browser doesn’t support HTML5
Filamu ya "Nomad Land" iliyotengenezwa na Marekani mwenye asili kutoka China inayozungumzia maisha ya watu wanao hamahama katika upande wa Magharibi wa Marekani ilinyakuwa tuzo ya Oscar ya picha bora.