Matukio mbali mbali katika maisha ya Fidel Castro

Picha tatu za vipindi mbali mbali vya maisha ya Fidel Castro, kuanzia kushoto; anavuta cigar mjini Havana, Cuba, April 29, 1961; azungumza na waandishi habari  baada ya kijana Elian Gonzales kurudishwa kutoka  Washington, D.C., April 6, 2000; akiwa nyumbani kwake Havana Feb. 13, 2016.

Rais wa Cuba Raul Castro akitangaza kwenye televisheni ya taifa kifo cha kakake kiongozi wa mapinduzi Fidel Castro,mjini Havana, Cuba Nov. 26, 2016.

Waziri Mkuu wa Cuba  Fidel Castro akivuta cigar wakati wa mahojiano katika ikulu ya rais Havana, Cuba, March 1985.

Kiongozi wa Cuba Fidel Castro, kushoto, na kiongozi wa Urusi  Nikita Khrushchev wakikumbatiana kwenye Umoja wa Mataifa Sept 20 1960 .

Waziri mkuu Fidel Castroatia saini amri ya kutaifisha benki za marekani  Cuba, Sept. 17, 1960.

 Oct. 12, 1979, Cuban President Fidel Castro akiwa kwenye mkutano mkuu wa U.N. , in New York.

A March 28, 1999.

 April 19, 2011, Fidel Castro, na kakake rais Raul Castro, Havana, Cuba.

Dec. 11, 2015.

Aug. 13, 2016.

Sherehe za miaka 90 tangu kuzaliwa kwake Castro Aug. 13, 2016,

 April 19, 2016.

 Fidel Castro, akimsalimia Rais Hassan Rouhani mjini Havana, Cuba, Sept 19, 2016.