Hali ni tete Ferguson kufuatia ghasia za usiku

Duka la vifaa vya urembo limeharibiwa kabisa kutokana na ghasia zilizofuatia uwamuzi wa kutomfungulia mashtaka afisa wa polisi Darren Wilson aliyemuuwa Michael Brown, Ferguson, Missouri, Nov. 25, 2014. (Kane Farabaugh/VOA)

Polisi wafunga njia kwa utepe katika eneo kubwa la biashara lililoharibiwa na ghasia za usiku, Ferguson, Missouri, Nov. 25, 2014. (Kane Farabaugh/VOA)

Moto umeteketeza duka hili la kuuza magari mjini Ferguson, Missouri, Nov. 25, 2014. (Kane Farabaugh/VOA)

Mwendesha mashtaka wa wilaya ya St. Louis Robert McCulloch akitangaza uwamuzi wa baraza kuu la mahakimu la kutomfungulia mashtaka afisa mzungu wa polisi Darren Wilson aliyemuuwa Michael Brown, Clayton, Missouri, Nov. 24, 2014.

Rais Barack Obama akizungumza kutoka White House muda mfupi baada ya baraza kuu la Mahakimu la Ferguson kuamua kutomfungulia mashtaka afisa wa polisi Darren Wilson aliyemuuwa Michael Brown, Washington, Nov. 24, 2014.

Muimbaji wa mtindo wa Rap Macklemore atembea na waandamanaji mjini Seattle, Washington, baada ya uwamuzi kutangazwa kwamba afisa wa polisi hatofunguliwa mashtaka huko Ferguson Nov. 24, 2014.

Watu wanatembea mbele ya ghala linalowaka moto huko Ferguson baada ya kutangazwa kwamba afisa wa polisi hatofunguliwa mashtaka.Ferguson, Missouri, Nov. 24, 2014.

A protester burns an American flag on Highway 580 during a demonstration following the grand jury decision in the shooting of Michael Brown, in Oakland, California, Nov. 24, 2014.

Police guard the area after several buildings were set on fire following the announcement of the grand jury decision, in Ferguson, Missouri, Nov. 24, 2014.

Demonstrators march through the streets following the grand jury decision in the fatal shooting of Michael Brown, in Seattle, Washington, Nov. 24, 2014.

Police officers stand guard as protesters react to the announcement of the grand jury decision not to indict police officer Darren Wilson in the fatal shooting of Michael Brown, in Ferguson, Missouri, Nov. 24, 2014.

Unrest on the streets after a grand jury decided not to indict police officer Darren Wilson in the death of Michael Brown, Ferguson, Missouri, Nov. 24, 2014. (Kane Farabuagh/VOA)