Wanajeshi wa Ivory Coast wadai nyongeza za mishahara
Ujumbe wa wanajeshi waloasi wawasili kwa mazungumzo na waziri wa ulinzi, Alain-Richard Donwahi, mjini Bouake, Januari 7 2017.
Waziri wa ulinzi Alain Richard Donwahi akizungumza na waandishi wa habari alipowasili kwa mazungumzo na wanajeshi waloasi mjini Bouaké, Côte d’Ivoire.
Ujumbe wa wanajeshi waloasi wawasili kwa mazungumzo na waziri wa ulinzi, Alain-Richard Donwahi, mjini Bouake, Januari 7 2017.
Ujumbe wa wanajeshi waloasi kwenye mazungumzo na waziri wa ulinzi, Alain-Richard Donwahi, mjini Bouake, Januari 7 2017.
Rais Alassane Ouattara akishuka kwenye ndege akirudi kutoka sherehe za kuapishwa rais mpya wa Ghana.
Lori zimesimama kwenye njia kuu ya Djebonoua, karibu na Bouaké, wakati wanajeshi walasi kufunga njia muhimu za nchi huko Ivory Coast.
Wanajeshi waloasi wanapiga dori katika njia za mji wa Bouaké, Côte d’Ivoire.