Picha za makumbusho ya mashambulizi ya septembe 11 2001 Marekani
Mzima moto akitembea katika vifusi vya World Trade Center,mjini New York, le 11 Septemba 2001.
Rais George Bush akimkimsikiliza mkuu wa utawala wa White House akimuarifu kuhusu shambulizi la ndege ya pili alipokua katika kampeni za uchaguzi huko Florida.
Mwili wa moja wapo ya waathiriwa ukiondoshwa na wazima moto kutoka vifusi vya New York.
Picha ya shambulizi la ndege kwenye jengo la pili la World Trade Center hapo Septemba 11, 2011, inayobaki kua alama ya kukumbusha mashambulizi hayo ya kigaidi. .
Mzima moto akiomba msaada wa kuweza kuingia katika vifusi vya jengo la World Trade Center.
Sehemu ya ukuta wa jengo la Pentagon iliyobomoka kufuatia kuanguka kwa moja wapo ya ndege zilizotekwa nyara hapo Septemba 11, 2001.
Wafanyakazi wa hospitali ya Saint Vincent wakiwahudumia walojeruhiwa kutoka World Trade Center New York, le 11 septembre 2001.
Majengo yote mawili ya Wold Trade Cente yakiporomoka baada ya kushambuliwa Septemba 11 2001.
Jengo la pili la World Trade Center likilipuka baada ya ndege kuligonga.
Mwanamume akilia kwenye ukuta wa mabaki ya jengo la World Trade Center New York, Septemba 11 2006.