CAN 2017: Senegal na Tunisia ziko tayari kwa mchuano wao wa kwanza

Kocha wa Smba wa Senegal Aliou Cisse na kapteni Cheikhou Kouyate wazungumza na waandishi habari katika ukumbi wa uwanja wa Franceville, Gabon, Januari 14 2017. (VOA/Amedine Sy)

Kocha wa Simba wa Senegal Aliou Cisse na kapteni Cheikhou Kouyate wazungumza na waandishi habari katika ukumbi wa uwanja wa Franceville, Gabon, Januari 14 2017. (VOA/Amedine Sy)

Aliou Cisse wa Senegal akiwasili kwa michuano ya CAN 2017, Franceville, Januari 12 2017 (VOA/Amedine Sy)

Mlinzi wa timu Senegal Khalidou Coulibaly mjini Bongoville.

Cheikhou Kouyate, kapteni wa Senegal, awasili Franceville, Gabon.

Timu ya Senegal Bongoville, Januari 12, 2017 (VOA/Amedine Sy)

Kocha wa Henryk Kasperczak na kapteni Syam Ben Youssef wakati wa mkutano na waandishi habari kwenye uwanja Franceville, Gabon. (VOA/Amedine Sy)

Mlinzi wa timu ya Tunisia Syam Ben Youssef.