Emmanuel Jaal atumia muziki wake kuelimisha dunia hali ya Sudan Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Jaaal anasema album yake ya 7 yenye mtindo wa ngoma za kiafrika ni kuhamasisha juu ya amani na usalama katika nchi alikozaliwa ya Sudan Kusini.