WHO: Ebola ndio mlipuko wa ugonjwa wenye changamoto za kipekee

Mwalimu akionesha mkono ulopakwa rangi nyekundu kufuatia mchezo wa kuigiza wakati ya kampeni ya kuhamasisha watu juu ya hatari za Ebola, katika shule ya Anono, mjini Abidjan,Ivory Coast,Sept. 25, 2014.

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Margaret Chan na mcheza filamu wa Uingereza Idris Elba, wakihudhuria mkurano na waandishi habari juu ya Ebola kwenmye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Sept. 25, 2014.

Rais wa Marekani Barack Obama akisalimiana na Mwenyekiti wA Kamisheni ya Umoja wa afrika Dk. Nkosazana Dlamini Zuma baada ya kuzungumzia Ebola kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa New York, Sept. 25, 2014.

Wanafunzi wanakosha mikono kama hatua ya king dhidi ya Ebola katika shule ya Anono, Abidjan, Ivory Coast, Sept. 25, 2014.

Wachezaji michezo ya kuiga waandamana barabarani baada ya kufanya maonesho katika shule ya Anono school, wakati ya kampeni ya kuhamasisha watu juu ya harati za Ebopla mjini Abidjan, Ivory Coast, Sept. 25, 2014.

Actors parade on a street after performing at Anono school, during an awareness campaign against Ebola, in Abidjan, Sept. 25, 2014.

Actors, playing the role of Ebola (on left) and doctors (right), perform during an awareness campaign against the virus at Anono school in Abidjan, Ivory Coast, Sept. 25, 2014.

Health workers carry buckets of disinfectant at the newly-constructed Island Clinic and Ebola treatment center in Monrovia, Liberia, Sept. 25, 2014.

Assistant World Health Organization Director-General for Health Security Dr. Keiji Fukuda appears at a briefing to discuss the Ebola outbreak in West Africa at the UN Foundation in Washington, Sept. 3, 2014.