Duniani Leo : Mei 14 : Idd el Fitr yaadhimishwa nchini Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Sherehe za Eid ef Fitr zimeadhimishwa Ijumaa nchini Tanzania baada ya Waislam kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Hali ya wasiwasi yaendelea kuongezeka nchini Israeli kufuatia mashambulizi ya pande mbili hasimu.

Shirika la Amnesty International lakosoa juhudi za uokozi katika shambulizi lililofanyika Palma, Msumbiji