Mkuu wa Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) asema kiwango cha vifo kutokana na COVID-19 bara la Afrika yazusha wasiwasi.
DUNIANI LEO: Mahakama ya ICC yamkuta na makosa kiongozi wa LRA Uganda
Your browser doesn’t support HTML5
Mahakama ya Uhalifu ya ICC, The Hague, Alhamisi yamkuta na hatia kiongozi wa zamani wa kundi la waasi wa Lord's Resistant Army Uganda dhidi ya uhalifu wa binadamu na vita.