Wanawake DRC walalamikia mauaji Beni

Democratic Republic of the Congo President Joseph Kabila inspects a guard of honor during the anniversary celebrations of the DRC's independence from Belgium in Kindu, DRC, June 30, 2016.

Kufatia mfululizo wa mauaji katika wilaya ya Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, makundi ya kina mama wilayani humo, sasa yanapendekeza mazungmuzo kati ya marais wa Uganda, Rwanda na DRC, ili kutanzua mzozo uliopelekea kuwepo kwa hali mbovu ya usalama katika eneo hilo…

Mwandishi wa Sauti ya Amerika wa DRC, Austere Malivika ana ripoti kamili….

Your browser doesn’t support HTML5

DRC women appeal for peace