DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo

  • Swahili Service

Your browser doesn’t support HTML5

Waasi wa M23 wameondoka katika kambi kuu ya kijeshi ya Rumangabo, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na kuacha kambi hiyo mikonini mwa jeshi la Africa mashariki, kikosi kutoka Kenya. Austere Malivika na ripoti Zaidi kutoka Rumnagabo.