China yakasirishwa na ziara ya Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani nchini Taiwan

Your browser doesn’t support HTML5

Ziara ya Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi ikiwa ni afisa wa ngazi ya juu wa kwanza baada ya miaka 25 kuzuru Taiwan imeibua mvutano wa kidiplomasia huku China ikitoa onyo kwa Marekani italipiza kisasi.