Ugonjwa wa Chikungunya wazua wasiwasi Kenya

Wakaazi wa mji wa Mandera mji ulio kaskazini mwa Kenya wanaendelea kuhangaishwa na ugonjwa wa Chikungunya unaotokana na Mbu. Ugonjwa huo umeendelea kuathiri wakaazi hao wakati amabpo visa vya maradhi ya kipindpindu vimeripotiwa kuongezeka.

Hi imewafanya madaktari kadhaa kutoka Mombasa kujitolea kwenda kushughulikia hali hiyo inayozidi kuwa mbaya hususana kwa sababu baadhi ya wauguzi na maafisa wa afya katika eneo hilo pia ni wameambukizwa ugonjwa huo wa Chikungunya.

Liberty Adede anaarifu zaidi kutoka Mombasa:

Your browser doesn’t support HTML5

CHIKUNGUNYA