Changamoto za kuwafungulia mashtaka wadukuzi wa mitandao DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Udukuzi wa mitandao ni uhalifu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, lakini bado udhaifu katika mifumo ya sheria unaiwia vigumu serikali kuwafungulia wahalifu hao mashtaka.