Polisi wa Burundi wawauwa waandamanaji watatu

Muandamanaji aliyejeruhiwa akizubiri kutibiwa katika zahanati ndogo kata ya Musaga mjini  Bujumbura, May 4, 2015. 

Mwanajeshi asimama kati ya waandamanaji wanaotia moto uchafu barabarani na polisi wa kupambana na ghasia huko kata ya Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.

Mwanamke akitizama kutoka nyumbani kwake wakati polisi wanapoita katika mtaa wa Nakabiga, Bujumbura, May 4, 2015.

Waandamanaji wakikabiliana na polisi wa kupambana na ghasia katika wilaya ya Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.

Polisi wa kupambana na ghasia wakisonga mbele na kuingia mtaa wa Mutakara mjini Bujumbura, May 4, 2015.

Waandamanaji wanakamatwa na polisi wakati wa mapambano ya mtaa wa Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015. 

Polisi wa kupambana na ghasia wanamkimbiza muandamanaji mjini Bujumbura, May 4, 2015.

Waandamanaji wakiimba "wacha tupite" wakijaribu kuvuka kizuizi kilichowekwa katika mtaa wa Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.

Muandamanaji mmoja akibeba mawe ndani ya mfuko kabla ya kupambana na polisi wa kuzuia ghasia mtaa wa Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.

Muandamanaji anawambia waandamanaji wenzake kusonga mbele hadi kizuizi cha polisi katika mtaa wa Nyakabiga mjini Bujumbura, May 4, 2015.